Membe-Wakenya wahujumu watz ubalozi wa uk

carefree

JF-Expert Member
Dec 19, 2010
266
47
Waziri membe tunaomba ufuatilie zoezi la utoaji viza za uk
leo kati ya watz 50 walioomba viza ni wa3 tu ndio wamepata .
Mimi ni mfanyabiashara kwa kawaida huwa wanapiga simu benki na kule ninapoelekea lakini safari hii hawafanya hivyo
mara zote 5 nilikuwa nikiomba napata wakati ofisi zao zikijiendesha kwa dar
pale ubalozini wamenidokeza kuwa toka waamie nairobi watz wanabaniwa sana na wakenye
 
pole lakini watz walinyamaza waliposikia ubalozi unaamishiwa kenya , kwa hiyo utafanyaje mkuu
 
Wa Tanzania ni wakunyanyasika tu hata wahindi walisha wahi wanyanyasa hapa nchini kwao ubalozi wa marekani kulikuwa na kamama ka kihindi pale acha tu!
 
safiiii.....jiulize kwa nini waliamia Kenya?

Ha ha haaaa mkuu, ila ukweli ni kwamba english speaking countries zote ni wahuni vumilieni tu.... lakini mlikuwa wapi wakati wanahamishia hudumu ya viza kenya, unaweza kuta tatizo sio wakenya bali ni janja ya waingereza wenyewe kupunguza namba ya wabongo wanaoenda uk,,,, fanyeni uchunguzi kwanza:twitch:????????
 
Poleni sana ila swala la kuhamishwa kuhusu kutoa visa si bongo pekee ni karibia dunia nzima wamebadili.
 
Mkuu wala usiangaike na Benard, maana ataishia kusema tu Wakenya ni Majoka ya Mdimu...:popcorn:
 
Wa Tanzania ni wakunyanyasika tu hata wahindi walisha wahi wanyanyasa hapa nchini kwao ubalozi wa marekani kulikuwa na kamama ka kihindi pale acha tu!
Pale ubalozini nilipojaribu kuwauliza kulikoni waliniambia kuna mkenya mmoja akishughulikia viza za tz ndio mambo huwa hivyo , kama Membe atalishughulikia suala hili mapema kabla halijakomaa atakuwa amewasaidia sana wale wanaoomba na wanaosubiri majibu ili wasijekukwama kama akina sisi
 
Ha ha haaaa mkuu, ila ukweli ni kwamba english speaking countries zote ni wahuni vumilieni tu.... lakini mlikuwa wapi wakati wanahamishia hudumu ya viza kenya, unaweza kuta tatizo sio wakenya bali ni janja ya waingereza wenyewe kupunguza namba ya wabongo wanaoenda uk,,,, fanyeni uchunguzi kwanza:twitch:????????

lakini kumbuka mimi huwa naenda kibiashara kwa zaidi ya miaka 8 sasa na huwa naenda nakaa 2 to 3 wks narudi sasa leo wakininyima visa kwa sababu sitaweza kulipia gharama za kukaa kule unaona ni uhuni benki balance yangu na mzunguko wangu kwa three maonths ni wa kutosha kabisa jambo linalonifanya nione hata huyo mkenya ana roho ngumu sana kunijibu kuwa sitaweza kugharamia malazi chkula na ticket
 
Kwani huo Ubalozi hauna ku-appeal kama unaona hujatendewa haki?
Besides, inakuwaje mkenya anashughulikia suala la viza ya Uingereza?
Kwa kawaida huwa naona vitengo vya visa vikishughulikiwa na maofisa ambao ni raia wa nchi husika..
Hicho kitu ndo mara ya kwanza kukisikia ati!!!!
 
Issues kama hizi ni lazima ziangaliwe strategically. Ukiikosea kidogo everything would be blown out of proportion na ni kwa hasara yetu. It is time to start thinking na kuwa majanja kuona mbali guys na sio kulalamika lalamika tu bila sababu
 
Sina hakika na hii tuhuma ila wewe umejuaje wamepata 3 out of 50 maana kila mtu huenda kuchukua kivyake bahasha yenye p.port yake.

Wakenya hawatoi visa ingawa kuna wakenya idara ya visa.
Naamini alokwambia eti kuna mkenya anatubania kakupandisha pressure bure.

Mimi hata bank statement huwa siweki na visa napata, jaribu kufuatilia kabla hujalaum.

FYI, kuna mkakati wa kupunguza wahamiaji na watakao kusoma 1st degree kutoka nje ya uropa maana tukienda tunazamia sasa makonsevativu hawataki.

Next time nenda nairobi fizikale huwa rahisi zaidi hasa kama una safari ya haraka.

Ila pia idadi ya Uk nationals and investments in kenya iko juu so strategically wako sahihi
 
Issues kama hizi ni lazima ziangaliwe strategically. Ukiikosea kidogo everything would be blown out of proportion na ni kwa hasara yetu. It is time to start thinking na kuwa majanja kuona mbali guys na sio kulalamika lalamika tu bila sababu

Strategy to preserve the status quo is unacceptable. Ni matokeo ya kuwa makondoo kwenye jumuiya ya Africa Mashariki NA BADO. Serikali ya JK haitafanya cho chote. Plan ahead get rid of ugonjwa kwenye shina ondoa uoza wa serikali ya JK by hooks and crooks
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom