vurugu zote aulizwe siraha na chadema yake
vurugu zote aulizwe siraha na chadema yake
vurugu zote aulizwe siraha na chadema yake
Eti kwa kua mali zake hazijahujumiwa na wananchi kwa hiyo anahusika na ghasia hizo.... Hivi kumbe mtu akibobea sana kwenye ufisadi anapoteza akili ya kawaida ya kufikiri?Kwa hiyo ni kweli Hawa Ghasia alimrushia tuhuma nzito Membe.?
vurugu zote aulizwe siraha na chadema yake
Kweli wewe una akili za panzi, waliomshutumu Membe ni CCM wewe unaiingiza CDM Na Slaa, kwanza kumbuka jana Kigwangala alikanusha kuwa tuhuma hizi ni uzushi na hazikutolewa katika kikao chao leo hii Membe anakanusha kuwa hausiki na tuhuma hizo zilizotolew dhidi yake, TAFAKARI kauli hizi na uone unatakiwa uwe kundi lipi la wajinga kama ulivyo sasa au uhamie kundi la welevu kama sisi.vurugu zote aulizwe siraha na chadema yake
SIRAHA ndio NANI??? Unaiogopa CUF? Wao Wamefanya MIKUTANO MINGI haswa MTWARA... Unaogopa kusema neno CUF??
Au as USUAL U R BIAS sio kwa kutaka ni kwa kulazimishwa na CHUKI...