ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Hana jipya huyoTAARIFA KWA UMMA.
Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.
Ukumbi: Mlimani City
Muda: Saa 4.00 Asubuhi.
Waandishi wote mnakaribishwa.
Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.
Simu: 0745899913
15 Julai 2020.View attachment 1507601
Hahaha...kutoka chama wanafiki na ma-snitchLast kick.....
Hahaha...kutoka chama wanafiki na ma-snitch
bro wewe hupendi madaraja?Membe nenda katupiganie baba. Wakulima, wasio na ajira, wafanyakazi, waliotumbuliwa, wafanyabiashara, n.k