Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Jul 24, 2012 #1 Hii sina uhakika nayo,inasemekana kuwa baadhi ya meli zetu hapa tanzania zilikua ni vivuko.Vivuko hivyo vimefanyiwa mautundu ili viwe na mwonekano wa meli.Je unafahamu chochote kuhusu hili?
Hii sina uhakika nayo,inasemekana kuwa baadhi ya meli zetu hapa tanzania zilikua ni vivuko.Vivuko hivyo vimefanyiwa mautundu ili viwe na mwonekano wa meli.Je unafahamu chochote kuhusu hili?
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jul 24, 2012 #2 Tufafanulie on what could be the prons and cons