Wazungu wameenda kuangalia specie ya watu wanaotandikwa makofi na wake zaoHongereni wakenya kwa kuwa kivutio cha watalii...
Wazungu wameenda kuangalia specie ya watu wanaotandikwa makofi na wake zao
Hahahahaha.... wamechoka kuangalia fisi wakifanya mapenzi hivi sasa wameamua kwenda kuona jamii pekee ambayo jinsia Ke inainyanyasa jinsia ME.Wazungu wameenda kuangalia specie ya watu wanaotandikwa makofi na wake zao
Hata mimi nataka niende Kenya kuomba ushauri, maana mke wangu siku za karibuni ananigongagonga sana makonzi na kunivuta masikioHahahahaha.... wamechoka kuangalia fisi wakifanya mapenzi hivi sasa wameamua kwenda kuona jamii pekee ambayo jinsia Ke inainyanyasa jinsia ME.
Hebu mwangalie vizuri asiwe ana chembechembe za wakikuyu....Hata mimi nataka niende Kenya kuomba ushauri, maana mke wangu siku za karibuni ananigongagonga sana makonzi na kunivuta masikio
Hiyo Meli imetoka Tz juzi tu kama ulikuwa unafatilia HabariHongera Wakenya ....ipo siku na ss hawa Keng@ wetu watatokwa na damu masikioni na kuweka maslahi ya Taifa mbele.... Congratulations
Ilipita na Dar pia, wala sio ajabu. Hiyo inazunguka nchi nyingiHongereni wakenya kwa kuwa kivutio cha watalii...
Ebwana eeh. ...
Kwa kweli pigeni tu hiyo MIHAYO. Rudi kwenu Bukoba kama Chuga kumekushinda!HERI YENU WAKENYA
ARUSHA HUKU ASILIMIA KUBWA TUNAOTEGEMEA UTALII TUNAPIGA TU MIHAYO
njaa na kaz hatuna