Meja Jenerali Gaguti amechangia hotuba ya CDF Mkunda kuhusu wakimbizi kuteuliwa Serikalini?

Mkuu unataka kusema nini? Kwamba ukiwa mzaliwa wa kibondo automatically wewe ni wa nchi jirani? Tusipokuwa makini tuta wa victimize watu simply kwa wivu au chuki.
nadhani hata kaka yetu CDF ile Kauli yake hakuipima vizuri. Ingebidi afanye utafiti na watu wanyofolewe kimyakimya. Lakini kwa alichofanya, usishangae watu kuwa victims tuu kwa sababu ya urefu wa pua zao au vijiji wanavyotoka. unadhani Hitler alifanya nini kwa wayahudi?

kwa mikoa ya pembezoni muingiliano ni lazima. kwa kuolewa, kuoa nk. tunahitaji umakini sana kabla ya kuandika sensitional stories kama hizi.

watu wa mipakani wanapitia dhahama nyingi sana nchi hii. Sijui Kama unalijua hili.

in all, nadhani serikali inafanya vetting ya nani ni nani kabla ya kuteua.
 
Hili tatizo lililotengenezwa na kikundi cha Wahuni wachache Berlin 1884/85, litatusumbua hadi mwisho wa dunia kama upo.
 
Unadhani hata kwenye mikataba ya madini, gesi na rasilimali nyingine; na kuhamisha wamasai Ngorongoro etc pia kuna scrutiny/vetting or kitu kama hicho kinafanyika? Duniani hakuna sehemu yenye makazi salama ya rushwa kama Tanzania.
 
Rudini kwenu
 
Unadhani hata kwenye mikataba ya madini, gesi na rasilimali nyingine; na kuhamisha wamasai Ngorongoro etc pia kuna scrutiny/vetting or kitu kama hicho kinafanyika? Duniani hakuna sehemu yenye makazi salama ya rushwa kama Tanzania.
Ujafika Haiti na Honduras wewe
 
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸ”ŠπŸ†’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…