Ole wako. Naona mbali na kuwa na shinikizo duni, hauna haya. Mimi hushuhudia KILA SIKU kazi za ma architect waafrika, wakiwemo pia watanzania. Someone help this man.
Home hapa utapata orodha ya majina yao. Wako wengi aisee, wakenya ni watu wameuma kitabu, taaluma aina zote zinapatikana kenya. Fuata hizo links ndani ya hiyo tovuti upate kujionea utashangaa. Siko karibu na computer sasa hivi, labda kati ya wiki hivi.