Haha haha..... nacheka mwenyewe tu!!!
Unafiki ni kitu kibaya sana na hujionyesha waaazi hahaha....
Hapa kuna watu fulani walikua wana-google pica na reports za kibera waje wapost ila kwa vile wameona na vyakwao vimesifiwa wamezitunza kwenye folder for later use!!!
Duh...
hilo ndyo tatizo sijui kwanini hatuna mbwembwe government za wenzetu wanatafuta kabisa photographer nakupiga majiji yao picha kwa camera za viwango vya juu...