G gabrielkashasha Member Joined Oct 3, 2015 Posts 53 Reaction score 0 Oct 7, 2015 #1 vp anaejua medicala lab kama ina lipa na ajira za faster tujadil
F fred beng Member Joined Mar 31, 2013 Posts 48 Reaction score 1 Oct 7, 2015 #2 medicala=medical kozi iko vizuri, vipimo vya makohozi, choo kubwa na ndogo, mkojo, malalia na magonjwa mengine kibao utahusika....kuhusu salary sifahamu ngoja waje
medicala=medical kozi iko vizuri, vipimo vya makohozi, choo kubwa na ndogo, mkojo, malalia na magonjwa mengine kibao utahusika....kuhusu salary sifahamu ngoja waje
G gabrielkashasha Member Joined Oct 3, 2015 Posts 53 Reaction score 0 Oct 7, 2015 Thread starter #3 ajira zipo za medicala lab au?
E empressu Member Joined Jun 25, 2015 Posts 38 Reaction score 1 Oct 7, 2015 #4 zipo ajira za kutosha unaomba unapata serikalini na hosptl binafsi au kwny mashirika ya research
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Oct 7, 2015 #5 Ni taaluma nzuri ila inataka wito maana utajenga urafiki na lab samples ambazo zinatia kinyaa sana Ajira ni directly ukitoka shule.Basic salary yao ni 980,000/= kwa sasa ila inaongezeka with time unapokuwa kazini Hiyo ni scale ya degree...Chini ya hapo watatujuza wengine
Ni taaluma nzuri ila inataka wito maana utajenga urafiki na lab samples ambazo zinatia kinyaa sana Ajira ni directly ukitoka shule.Basic salary yao ni 980,000/= kwa sasa ila inaongezeka with time unapokuwa kazini Hiyo ni scale ya degree...Chini ya hapo watatujuza wengine
SilverRays Member Joined Sep 27, 2015 Posts 50 Reaction score 4 Oct 7, 2015 #6 Ze Heby said: Ni taaluma nzuri ila inataka wito maana utajenga urafiki na lab samples ambazo zinatia kinyaa sana Ajira ni directly ukitoka shule.Basic salary yao ni 980,000/= kwa sasa ila inaongezeka with time unapokuwa kazini Hiyo ni scale ya degree...Chini ya hapo watatujuza wengine Click to expand... sory br vip salary kwa hii Health information system je wanaajiriwa wapi? ni soon tu ukimaliza au?
Ze Heby said: Ni taaluma nzuri ila inataka wito maana utajenga urafiki na lab samples ambazo zinatia kinyaa sana Ajira ni directly ukitoka shule.Basic salary yao ni 980,000/= kwa sasa ila inaongezeka with time unapokuwa kazini Hiyo ni scale ya degree...Chini ya hapo watatujuza wengine Click to expand... sory br vip salary kwa hii Health information system je wanaajiriwa wapi? ni soon tu ukimaliza au?