TRUMP Alishanunuliwa na Russians, ana deni nao, ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa wazi. Hakuna mwanasiasa asiye na bei, Huyu jamaa pia ni hater sana na hakubali kukosolewa hata kama amekosea, ana akili za kitoto kwamba yeye ndio yuko sahihi kwa kila kitu, ukimkosoa unageuka kuwa adui yake.