Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,022
[emoji23][emoji23][emoji23]Ole piga kazi! (in magufuli's voice)
Nipo everton sahivi kwa muda.
Cavan kaja A.k.a mkombozi. Haha
Naisubiri man u Vs leeds
Huyu kocha aondolewe haraka
Mara mia gari la mkaa kuliko hivi vi baby walker vibovuKumbuka ni miaka 33 tayari gari la mkaa
Achen lawama kwa kocha ,lawama peleken kwa mabosi ambao Ni wabahil wanataka kubania pesa kipuuz wakat wenzao wanasajil kila Leo wao wameuchuna tu ,hata msimu uliopita kushika nafasi ya tatu Ni mungu tu alikuwa upande wa man u na hapo kocha Ni wa kupongezwa sna ,maboss baada ya kuona wamepita kibahat bahat na msimu huu wanataka bahat ya msimu uliopita badala ya kusajil.Huyu kocha aondolewe haraka
Aje kocha gani?
Mwinyi Zahera. Mzee wa Booo!!
United anamaliza top fourHii ndio ratiba baada ya mechi za kimataifa, ikumbukwe Uefa ndo inaanza rasmi, Man Utd atakuwa na ratiba hii inamkabili, unadhani Man Utd ataambulia ushindi kwenye mechi ngapi kati ya hizi?
View attachment 1590366