Daa sijajua kama nitakuliza jamani pole ila kuna kale kamsemo kanasema hata ukilia viboko utakula tuu ila mimi nakupa pole sana na viboko hutakula nlikua nataka niongeze na ile ya 8-2 ila wacha niache..Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
goli la kwanza alifunga Fabio Grosso sio Marco materazziGermany vs Italy semi final world cup 2006.....
Germany anakufa goli 2 kwa 0 ndani ya dk ya 118 na 120....
Marco materazzi anafunga bonge la bao baada ya kupokea pande maridhawa kwa el maestro pirlo anangalia kushota anapiga kulia.
Daaah! Hii kwakweli ndo listi bora kwangu! Hizi mechi sitokaa nizisahauhUU NI MTAZAMO WANGU...
1. AC MILAN VS LIVERPOOL UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL 2007
Hiyo namba 2 pamoja na ushabiki wangu kwa Chelsea nadhani ndiyo namba moja kwa mashabiki wengi wa mpira...that is true spirit.
2. CHELSEA vs BAYERN MUNICH UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2012 FINAL
....these matches huwa zinanipa nguvu ya kuendelea kupigana maana najua hata pale ambapo dunia nzima itaamini siwezi, kama mimi ninaamini, inatosha...na nitafanikiwa!!! These are matches to talk about...
3. CHELSEA VS BARCELONA UEFA GAME MAY 2009
Mechi ambayo inanifundisha kuwa the world is not fair...nyanyuka pangusa vumbi...move on with life!!!
France V/S Italy 2006
Ghana vs Uruguay world cup South Africa 2010 sitamsahau asamoah gyan aisee
Yeeees mkuu sahihi kabisa nimejichanganya hapo asante kwa kunisahihisha.....goli la kwanza alifunga Fabio Grosso sio Marco materazzi
Hio no 2 mpaka Leo imebaki kwenye vichwa vya watu wengi kwa hakika sutoisahau kabisa[/QUOT
ilikua si mchezo chini ya magic captein,Steven gerrald
Hakuna matokeo ninayochukia duniani kama hayo.Man unite vs Arsenal 2008 man unite kashinda 8 kwa 2
Hata mimi nikijua mechi imeishanililala baada ya half time
hiyo game sitakaa niisahau. Mghana Samuel Kufour dah! jamaa nahisi ni kama alikua na machungu kuzidi wajerumani wote katika ile fainali.Manchester United vs Bayern Munich Champions league final 1999
Duh kumbe Nifah tupo chama mojaUngejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Ac milan vs derpotivo hii ndio bonge la mechi1. Man Utd 4-3 Man City (mwaka 2009.)
Wakati Craig Bellamy akiisawazishia Man City dakika ya 90 na kufanya ubao usomeke 3-3 wengi waliamini mechi hiyo ingeisha kwa sare, zikaongezwa dakika 4, City wakarudi nyuma kupaki basi.
Ghafla Michael Owen akaibuka shujaa baada ya kufunga goli la ushindi dk ya 96 nje ya zile 4 za nyongeza. Kocha wa Man City alilalamika sana baada ya Refa kushindwa kumaliza mpira kwa muda sahihi.
2. Liverpool 3-3 Ac Milan (Fainali ya Uefa 2005)
Fainali hii iliyofanyika Instanbul, Liverpool walikuwa nyuma kwa magoli 3-0 wakati wa mapumziko, kipindi cha pili kinaanza kwa kocha Benitez kumuingiza Dietmar Hamann ambaye alienda kumzuia Pirlo asicheze na kuwafanya Liverpool warudi mchezoni, dk 90 mechi inaisha 3-3 na Liverpool wanaenda kubeba ndoo kwa penati baada ya extra time.
3. Derpotivo La Coruna 4-0 Ac Milan ( Robo Fainali ya Uefa, April 7, 2004)
Mabingwa watetezi wa Ulaya, AC Milan wakiwa na advantage ya ushindi wa 4-1 walioupata nyumbani San Siro, walienda kuwafata Derpotivo wakiwa vifua mbele lakini wakakutana na dhahama nzito ya kipigo cha 4-0 toka kwa Derpotivo. Walter pandiani kaibuka staa wa mchezo kwa kutakata na kuwapoteza mastaa wa Milan kama Kaka, Pirlo, Inzaghi na Shevchenko.
Ac Milan wakatolewa kwa jumla ya Magoli 5-4.
Karibu mdau ututajie na wewe mechi zako 3 unazozikubali.
Hata mimi nikijua mechi imeishanililala baada ya half time
Kuweka sawa.Germany vs Italy semi final world cup 2006.....
Germany anakufa goli 2 kwa 0 ndani ya dk ya 118 na 120....
Fabio Grosso anafunga bonge la bao baada ya kupokea pande maridhawa kwa el maestro pirlo anangalia kushota anapiga kulia.
Alesandro del piero ana wamalizia wajerumani kwa goli safi baada ya counter attack iliyoanzia kwa canavaro, luca toni, gilardino na kumkuta del piero na kumgalagaza jens lehman. Hapo ndipo ndoto za wajerumani zilipoishia.
Natamani kuwawekea clip yake ila jf apps ni jipu linapokuja suala la ku-upload video