Salaam sana wakuu
Hii course hapo juu nimetokea kuipenda kwa muda mrefu ila sikujua kama ipo tanzania.lakini juzi wakati napitia website ya MUST nikaiona na sio siri nimefurahi,sasa wakuu hapo MUST nimeona ni diploma tu na sijaona degree ya kozi tajwa sasa ningependa kwa anaejua chuo gani kinatoa degree katika kozi hii ya MECHATRONICS ili nikiingia niende moja kwa moja maana hata UDSM na DIT kwenye website zao sijaiona hii course kwa level ya degree.
KHASANTENI SANA