Mechanism on how my ISP disconnects me after my Plan is over?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Wakuu kama heading inavyoonesha naomba mwenye uelewa jinsi ISP anavyo fanya kuni Disconnect kutoka Internet hasa hasa mabasi haya mawili?
Na je ni mechanism ipi anaitumia kunichomoa ISP huyu wa BSS?
Je,ana disconnect IP yangu?

MWISHO KABISA

Naomba mwenye Tool/software ambayo inaweza kuchange IP yangu baada ya Interval fulani lets say after
every <10minutes

2 in 1

Natanguliza shukrani
 
ISP wanatumia billing gateways ku charge wateja wao. hiyo system inatoa full clients control such as create billing plans assign bandwidth and automatic accounts deactivation

kuhusu kubadili IP address anaye assign IP address unayotumia ni ISP wako. sasa suala la kubadili liko IP yako anayeweza kufanya ni yeye. ila kama unachotaka kufanya ni ku hide identity ili uki post matusi usijulikane then unaweza kutumia proxy servers kujificha.

kwa kutumia proxy servers kila unachofanya kwenye internet kitaonekana kimefanywa na hiyo proxy IP so original IP yako haitokei kwenye tracking records





 
Mm nikajua mfano nikitumia Server ya VPN basi ISP wangu atajua nimeingia hewani na hiyo IP
 

Nipo interested na hopo kwenye red. Software ambazo zitakuwezesha kuchange IP even kila baada ya DK 1 ni
  • Super Hide IP (this is my best)
  • Auto HIde IP ( hii nilikuwa nikitumia mwanzo).
  • Software zote utazipata hapa zikiwa full version
    Code:
     [URL="http://bitcq.com/"]BitCQ - light and possibly the fastest search engine[/URL]
karibu
 

Unaweza kutaja baadhi ya hizo bandwidth software unazozifahamu? Kwa upande wangu mimi nafahamu hii ya ET/BWMGR
 

pamoja sana mkuu
 
Unaweza kutaja baadhi ya hizo bandwidth software unazozifahamu? Kwa upande wangu mimi nafahamu hii ya ET/BWMGR


Software nyingine ni bandwidth controller, lakini nzuri zaidi ni full billing gateway hardware with firmware complete box.
advantage ya hizi zinaweza control idadi kubwa ya clients na zina run with maximum speed comparing with windows apps
mfano wa billing gateway ni kama 4ipnet HG
 

Nimeigoogle hiyo software ila sijaipata. unaweza kkunitumia link ili niicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…