Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,158
- 1,688
Hata mie sijui, ngoja waje wadauHawa jamaa huwa wanalipa vizuri kweli?Mechanical Engineer pale analipwa kiasi gani?
Naona wadau wamegoma, ok me nshatumaHawa jamaa huwa wanalipa vizuri kweli? Mechanical Engineer pale analipwa kiasi gani?
kama hauna ajira wewe omba tu hivyo hivyoNaona wadau wamegoma, ok me nshatuma
Hawa jamaa huwa wanalipa vizuri kweli? Mechanical Engineer pale analipwa kiasi gani?
sio chini ya 8m gross.
Ila makato 7,500,000, nazani ushanielewa [emoji2]
Duuuu!! Magazeti hayauziHilo company, linaenda kufa kifo cha mede,wamepunguza sana staffs wao! Wamevunja department balaa! Na MD wao kasepa last week!! Pale unaweza shangaa wakalipa Tshs 1,000,000 tena gross
Kweli mkuu, jamaa walianza kwa kuwaambia baadhi ya staff wafanye kazi wakiwa nyumbani. Wakawapunguza mdogo mdogo saizi wameweka nguvu kwenye magazeti kwa njia ya Mtandao.Hilo company, linaenda kufa kifo cha mede,wamepunguza sana staffs wao! Wamevunja department balaa! Na MD wao kasepa last week!! Pale unaweza shangaa wakalipa Tshs 1,000,000 tena gross