Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Sep 4, 2013 #1 Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee.
Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Sep 4, 2013 #2 sasa kama mchungu si uloweke na majuisi na masukari?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,688 Sep 4, 2013 #3 Wambuzi said: Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee. Click to expand... Naomba ufafanue vizuri huo mdomo mchungu kivipi na wakati gani?una toa harufu yoyote?Una malaria/homa?
Wambuzi said: Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee. Click to expand... Naomba ufafanue vizuri huo mdomo mchungu kivipi na wakati gani?una toa harufu yoyote?Una malaria/homa?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 Sep 4, 2013 #4 Wambuzi said: Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee. Click to expand... Mdomo kuwa mchungu yaweza kuwa ni malaria, Fanya hili jaribio - Lamba kiasi kidogo cha sukari , Iwapo hutasikia ile ladha ya utamu wa sukari, Hiyo ni ishara tosha kwamba una malaria. Nenda hospitalini mapema ufanye vipimo kabla ya kutumia dawa yeyote. Pole sana, Karibu
Wambuzi said: Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee. Click to expand... Mdomo kuwa mchungu yaweza kuwa ni malaria, Fanya hili jaribio - Lamba kiasi kidogo cha sukari , Iwapo hutasikia ile ladha ya utamu wa sukari, Hiyo ni ishara tosha kwamba una malaria. Nenda hospitalini mapema ufanye vipimo kabla ya kutumia dawa yeyote. Pole sana, Karibu
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Sep 5, 2013 Thread starter #5 Mwl.RCT said: Mdomo kuwa mchungu yaweza kuwa ni malaria, Fanya hili jaribio - Lamba kiasi kidogo cha sukari , Iwapo hutasikia ile ladha ya utamu wa sukari, Hiyo ni ishara tosha kwamba una malaria. Nenda hospitalini mapema ufanye vipimo kabla ya kutumia dawa yeyote. Pole sana, Karibu Click to expand... thank you mkuu
Mwl.RCT said: Mdomo kuwa mchungu yaweza kuwa ni malaria, Fanya hili jaribio - Lamba kiasi kidogo cha sukari , Iwapo hutasikia ile ladha ya utamu wa sukari, Hiyo ni ishara tosha kwamba una malaria. Nenda hospitalini mapema ufanye vipimo kabla ya kutumia dawa yeyote. Pole sana, Karibu Click to expand... thank you mkuu
Kistaa Member Joined Jul 29, 2015 Posts 27 Reaction score 5 Aug 3, 2015 #6 Dada yangu ananiambia akilala ucku mdomo unakua mchungu nini inasababisha hali hiyo
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,885 Reaction score 42,002 Mar 20, 2017 #7 Aende hospital
B Brayson kilamhama New Member Joined Sep 10, 2017 Posts 4 Reaction score 0 Sep 11, 2017 #8 Wambuzi said: Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee. Click to expand... Akapime mimba.
Wambuzi said: Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee. Click to expand... Akapime mimba.
tramadol JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 5,383 Reaction score 4,323 Sep 12, 2017 #9 Mdomoni kuwa mchungu Kuna sababu nyingi lakini muhimu ni hizi. Kwanza ni matatizo ya kiafya ya meno na fizi Pia kupungukiwa na maji mwilini. Aina fulani ya fungus za mdomoni..yeasts Pia matumizi ya baadhi ya dawa za antibiotics na dawa za kushusha pressure au BP. Pia matatizo ya kihomoni pia Na pia usafi mbovu wa kinywa na meno.
Mdomoni kuwa mchungu Kuna sababu nyingi lakini muhimu ni hizi. Kwanza ni matatizo ya kiafya ya meno na fizi Pia kupungukiwa na maji mwilini. Aina fulani ya fungus za mdomoni..yeasts Pia matumizi ya baadhi ya dawa za antibiotics na dawa za kushusha pressure au BP. Pia matatizo ya kihomoni pia Na pia usafi mbovu wa kinywa na meno.