E bana kuna comment yako moja ile umesema tangazo tangazo kila nikiitafuta nataka nikuongezee like siioni, au mods wameitoa. Yaani lile ni bandiko la wiki, kila nikiifikiria nashindwa kuamini kama we umepinda kiasi kile.
Wewe sema tu kuna mtu wako mwenye hilo tatizo upewe dawa acha kuzunguka zunguka,ooh dawa imeisha...ooh unalitafuta tangazo
​Hilo kwangu sio tatizo, hizo za maji maji mi ndo nazipenda, napenda kuogelea bwawani.
Ungetunga wako sio kudandia!
Vipi shemeji amepanga nyumba ya vyumba vitatu saizi kwa hiyo hulali sitting room? Mshukuru sana shemeji akoJitu zima linaandika ujinga.unalipwa?!
Ungetunga wako sio kudandia!
Tatizo sio maji tatizo ni mnuko
Kwani uo kaimba domo??? Si ndo kishatunga tena au? Usiwe papara soma utunzi vizur aisee. Roho zinawauuuuuuuma wenyewe team tandale mweee mbona kazi mnayo mwaka huu kwa kuumaliza vby, kama nakuona vile unavosoma hii txt yangu unataman unifanye nini sijui hahahahaaa... Pole eeeeh
Imekuwa baiskel hii mpaka nidandie?
​Hilo kwangu sio tatizo, hizo za maji maji mi ndo nazipenda, napenda kuogelea bwawani.
Ndio nakushangaa wenzio wanadandia baiskeli wewe unadandia wimbo!
Dada mtihani wako wa QT unaanza lini? usije ukafeli kama mwaka jana kisa kushinda Jf kuangalia wanaume wamepost ni ni.
Aaah Oh Nimetembea tembea adi show za Ulayani,
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one,
Nlitaman nishuke nlishindwaa,
Zitatapakaa scandal najuaaa,
Midomo ya binadam michafu sana,
Tena ni wana haram hawana mana,
wana wivu hooo
haoo haoo
wachonganishi haoo
haoo haoo
Sikupenda nimwone davido nae anazomewa ndo mana nkapanda jukwaan kumtetea
skupenda nimwone davido akizomewaaa utam wa collabo naee ukala kwaaangu
aha Ali kiba kanshindaje mbna ni bwana mdogo
nauliza kanshindaje uyu bwana mdogo