Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Hhahahaha mwaka huu watu wasipopinda midomo watapinda vidole
Ungetunga wako sio kudandia!Aaah Oh Nimetembea tembea adi show za Ulayani
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one
Nlitaman nishuke nlishindwaa
Zitatapakaa scandal najuaaa
Midomo ya binadam michaf sana
Tena ni wana haram hawana mana
wana wivu hooo
haoo haoo
wachonganishi haoo
haoo haoo
Sikupenda nimwone davido nae anazomewa ndo mana nkapanda jukwaan kumtetea
skupenda nimwone davido akizomewaaa utam wa collabo naee ukala kwaaangu
aha Ali kiba kanshindaje mbna ni bwana mdogo
nauliza kanshindaje uyu bwana mdogo
Hhhhhhgaaaaaaaaaa
E bana kuna comment yako moja ile umesema tangazo tangazo kila nikiitafuta nataka nikuongezee like siioni, au mods wameitoa. Yaani lile ni bandiko la wiki, kila nikiifikiria nashindwa kuamini kama we umepinda kiasi kile.