Mdahalo ITV Bila Dr Slaa Na Wengine, Kwanini?

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
680
Reaction score
168
Siku ya Tarehe 29/10/2010, saa moja kamili jioni katika kituo cha ITV kutakuwa na mdahalo wa mgombea urais kwa ticket ya CUF Prof. Ibrahim Lipumba, mdahalo huo umeandaliwa na VOX Media wakishirikiana na ITV. Kwa nini amealikwa mgombe mmoja tuu mbona wagombea wa vyama vingine hawajaalikwa kujumuika na Prof. Lipumba.
 
hahahahhaaaa, mkuu....umewajibu vizuri wale akina pus na wenzake waliotumwa na mabwana ....malizia mwenyewe.
 
Lipumba utamfananisha na nani katika hao wakina JK na Mchungaji Slaa, Lipumba ni Mtaalam atafutiwe mataalam wa kujadiliana nae sio wachungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…