Natafuta mwanamke mwenye nia ya kweli ya kuwa na mwanaume, mimi nilioa miaka 7 ndani ya ndoa nina watoto wawili tukaachana miezi 8 ilopita edomkally@gmail.com
Umri 30 na kuendelea
Ki ufupi awe mtu anaejielewa nini anataka
Tobaaa 2 kids
Unatafuta MTU wa kukulelea watoto or
7 month tangia mmeachana na unataka kuoa
Bora uwalee wanao mkuu
Ndoa ndoano
Kama anataka hela tu??
na mimi nimejiuliza yani miezi 8 tu ndoa imevunjika ameshaanza kutafuta kuoa tena, angekuwa muislam ningesema labda mwezi huu anatafuta wa kumpikia uji na ftari
Natafuta mwanamke mwenye nia ya kweli ya kuwa na mwanaume, mimi nilioa miaka 7 ndani ya ndoa nina watoto wawili tukaachana miezi 8 ilopita edomkally@gmail.com
Umri 30 na kuendelea
Ki ufupi awe mtu anaejielewa nini anataka
Tobaaa 2 kids
Unatafuta MTU wa kukulelea watoto or
7 month tangia mmeachana na unataka kuoa
Bora uwalee wanao mkuu
Ndoa ndoano
Umeuliza swali zuli sana teh teh pesa mbele kaa tai ati