Duuh....mwanamke atakaekukubali wewe atakuwa na matatizo
huko kanisani wamekukataa ,kazini ,mtaani hata majirani .wadada wa jf msidanganywe na huyu mtu hafai
leave nifah and the bold huwezi na hutokaa ufanane naeBinafsi napendezwa na kuvutiwa na hii Couple ya THE BOLD na NIFAH hapa jamii forum mpaka nashawishika kuwajibu na kisha kuwaenzi hawa maicon wetu kwa mapenzi motomoto na mubashara wanayotuonesha hapa jf.
Narudia tena mdada anayejielewa please hakuje makutano(PM) tupange na namba ya mashambulizi kwa hawa jamaa.
ZINGATIA YAFUATAYO:-
1: Uwe unajielewa na kujitambua kuanzia wewe binafsi na jamii. wewe mwenyewe hujielewi
2: Uwe na maono/vision na focus katika maisha. ungekuwa na maona na vision ungekuwa unajua kwenye maona yako upate mke kivipi.huna vision huna maono
3: Usiwe mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na mwenye tamaa. wewe mwenyewe unakoenda upepo ndo unapopatikana
4: Note; don't expect much from me. The only you can do is make me to be a husband you have been dreaming. Pia mimi nitakufanya mke nimuotaye kila siku. you got nothing to offer so no any expectation from you
TAMBUA. Nifah na The Bold siyo watu wa kisipoti kisipoti kama ujiwezi usijaribu.
HAPPYBIRTHDAY NIFAH. Nakupenda shemeji letu.
huyu jamaa ashanitukana sana hanaga adabu huyu nilikuwa nimemuignore ngoja nimlipizieDuuh....
Nimejikuta nacheka kwa sauti...mwanamke atakaekukubali wewe atakuwa na matatizo
huko kanisani wamekukataa ,kazini ,mtaani hata majirani .wadada wa jf msidanganywe na huyu mtu hafai
Hii ligi kubwa ngoja nibakie kimya.huyu jamaa ashanitukana sana hanaga adabu huyu nilikuwa nimemuignore ngoja nimlipizie
ATAKOMAAA!!!mwanamke atakaekukubali wewe atakuwa na matatizo
huko kanisani wamekukataa ,kazini ,mtaani hata majirani .wadada wa jf msidanganywe na huyu mtu hafai
Usingejitokeza kuponda ningeshangaa sanamwanamke atakaekukubali wewe atakuwa na matatizo
huko kanisani wamekukataa ,kazini ,mtaani hata majirani .wadada wa jf msidanganywe na huyu mtu hafai
haiya kidume..kila la heri na wote wataokufuataBila shaka unatambua kina kirefu mimi usipime kina cha bahari kwa mguu tutakupoteza.
hunijui...Nilikutegemea wewe na negative zako..!