isaac vitalis shirim
Member
- May 15, 2013
- 14
- 2
KALI YA LEO
Mchungaji mmoja kabila mchaga alikua anamuombea jamaa mmoja ili pepo litoke...
mchungaji;pepo shindwa nakwambia leo utanikoma utatoka haleluya
pepo;sitoki wala sikuogopi
mchungaji;shikarabashabarabasita,toka pepo
pepo;simtoki huyu jamaa kwan mi ni pepo wa hela namwingizia mamilioni kila siku
mchungaji;(akastuka)kumbee bas shindwa...(kwa saut ya chinichini)toka uje kuniingia mimi nipate hela....
CHEZEA CHAGGA WEWE
Joke ni nzuri ila imechuja kwa kuongeza hayo maneno niliyobold!KALI YA LEO
Mchungaji mmoja kabila mchaga alikua anamuombea jamaa mmoja ili pepo litoke...
mchungaji;pepo shindwa nakwambia leo utanikoma utatoka haleluya
pepo;sitoki wala sikuogopi
mchungaji;shikarabashabarabasita,toka pepo
pepo;simtoki huyu jamaa kwan mi ni pepo wa hela namwingizia mamilioni kila siku
mchungaji;(akastuka)kumbee bas shindwa...(kwa saut ya chinichini)toka uje kuniingia mimi nipate hela....
CHEZEA CHAGGA WEWE
Joke ni nzuri ila imechuja kwa kuongeza hayo maneno niliyobold!