Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Unafiki ni kukubaliana na jambo ambalo hulikubali moyoni ila mdomoni unajifanya kulikubali.Huyo mchungaji hataki unafiki...
Nimempenda huyo Mchungaji coz kasema ya moyoni..wengine wanajifanya imewagusa kumbe moyoni wanatamani wote wafe.. Mchungaji kawa mkweli kwa nafsi yake..Unafiki ni kukubaliana na jambo ambalo hulikubali moyoni ila mdomoni unajifanya kulikubali.
Mchungaji kaamua kumwaga mboga kua anatamani mashoga wote wauawawe.
Binafsi hata mimi sipendi unafiki.
Ushoga haufundishi wala kulazimishwa,mashoga ni mashoga tu wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo na hakuna chochote mtafanya zaidi ya maneno yenu ya kashfa tuu tena nyuma ya keyboard na jamii zote zilizostaarabika zimewaachia waishi maisha yao na kuwalinda kama binadamu wengine na wengine ndio kila kukicha mnazama baharini kukimbilia hizo nchiSwala hili linakuwa kubwa zaidi Africa Tanzania ikiwepo je nini kinafanyika ?au ni kushangilia huyo mchungaji ilihali waharibifu wa watoto na mazingira mabovu ya malezi yanaendelea hali inayopelekea ushoga kukua#tumpongeze huyo mchungaji kwa kuwa mkweli lakini ni lazima nasi kama jamii kuchukua hatua Kali zaidi kwa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Chuki kama avator yako,cant imagine mtu mstaarabu kujiita ISISMUNGU mwenyewe aliwachoka! sodoma na gomora!
Kweli kabisa laiti maneno hayo yangetoka kwa shekh au imam pangechimbika.Bora kasema mchungaji.