Mchungaji adaiwa kumnajisi mjukuu

Status
Not open for further replies.

hameed

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
35
Reaction score
7
Polisi wamemkamata mchungaji wamiaka 53 kwa madai ya kumdhuru kimapenzi mjukuu wake ambae ni msichana wamiaka 12 katika kijiji cha Lwala, Kaunti ya Siaya,William Amondi Odinga ambae huhubiri katika Kanisa la New Apostolic alikamatwa baada malalamiko kutoka kwa wananchi,Kiongozi wa wazee katika eneo hilo Paul Otemo alisema kua mchungaji huyo amekua akimwonta mwathirika kuhusu matokeo ambayo angekumbana nayo ikiwa angethubutu kuripoti hivyo kwa polisi(NMG)
 
Y-n shemeji yangu unayaona haya?
 
Ndo kazi ya uchungaji hiyo
 
Ila hawa maaskofu jaman wameZidi
 
sasa km w2 hawajaoa wakachaji wapi cm zikiisha moto? acha wachomeke tu
 
Hii dini ya hawa jamaa ni ya ajabu sana, yaani kugegedana wameona iiishuuu!
 
Atakuwa na mapepo huyo mchungaji, atafutwe mchungaji wa kulikemea pepo baya hilo
 
Waachwe wafanye yao.....kwani ndo kazi yao...kula kondoo wao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…