Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,602
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa.... mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu hamsini, maana mwenye shida alikuwa ni yeye......
Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.
"Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka... sorry bae sitaweza kuja kwa leo... sooo sorry!"
Mshkaji jiii! hajajibu kitu.....
Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya binti, akajua mchizi kajibu. Mh! kutazama ni meseji kutoka Mpesa.
"CA90F0511 IMETHIBITISHWA Tshs 50,000/ ILIYOTUMWA KIMAKOSA KATIKA ACCOUNT YAKO IMETOLEWA SALIO LAKO NI Tshs 5"
Halafu ndo ikaingia meseji ya mshkaji.
"BASI POA SIKU NYINGINE KAMA VIPI"
# dada wa watu mashavu yakamshuka... hakuamini kilichotokea.... yaani jamaa keshawapigia Voda na pesa fasta imezuiliwa......
JAMANI WADADA kama una nia ya kupiga kirungu uwe unatoa pesa kwanza ndo unatoa excuse... kuna watu wamevurugwa!!!
Mkuu unatuharibia pozi...!!!
Hivi hawa TBS wapo kazini au likizo?inakuwaje bidhaa mbovu kama hizi zinaachwa na kuingia katika soko la Tanzania?
Ni hasara kiasi gani inaweza kusababishwa na bidha zenye viwango hafifu kama hizi?ni hatarishi kwa usalama,ni uchafuzi mkubwa wa mazingira nk nk.
TBS ni jipu linatakiwa kutumbuliwa fasta!
Ndiyo matatizo ya bangi haya watu wanaongelea vingine na wewe unaongelea TBS duh anzisha mada yako
Hivi hawa TBS wapo kazini au likizo?inakuwaje bidhaa mbovu kama hizi zinaachwa na kuingia katika soko la Tanzania?
Ni hasara kiasi gani inaweza kusababishwa na bidha zenye viwango hafifu kama hizi?ni hatarishi kwa usalama,ni uchafuzi mkubwa wa mazingira nk nk.
TBS ni jipu linatakiwa kutumbuliwa fasta!
Ni mchunaji?
Hapana, ni mchunwajiNi mchunaji?
Utakuja kutogwa halafu uanze kuwasumbua bure mshana jr, jichawi na MziziMkavuHahahaha hizo mambo za kuzuia miamala nazifanyaga sana
Kaka ni wazi kuwa wewe sio mwanaume wa DSM?