Mchumba

mwanairinga

Senior Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
179
Reaction score
12
Habari wana jf, Mwenzenu mwaka unaisha cijafakiwa kupata mchumba Naomba sala zenu nifakiwe kumpata mchumba mwaka huu kabla haujaisha ili mwakani nifunge ndoa!
 
Kwa siku hizo siku 365 zilizopita ulifanikiwa kutongoza wangapi?
 
Mungu atakusaidia kaka utapata haja ya moyo wako.
 
Last edited:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…