SINGLE RASHID
Member
- Nov 8, 2012
- 71
- 15
huyu yuko serious anatafuta tangu last year.hujapata SINGLE RASHIDi?kama uko tayari kubadili dini nikufikirie
mtoa mada mbona kama umeandika hii mada ukiwa chooni?
Natafuta mchumba haraka wa kuoa....
SIFA...aliyemliza form four mwaka jana kwa matokeo haya ya juzi ili aje kuendeleza maisha ya starehe kwangu na kusahau yote yaliomkuta ...