M Meddy masumbuko New Member Joined May 23, 2015 Posts 4 Reaction score 0 May 24, 2015 #1 Naitwa Ahmed nina umri wa miaka 30, naishi Dar es salaam, natafuta mchumba ambaye baadaye Mungu akipenda awe mke mwenye sifa zifuatazo:- (1). Awe muislamu au dini yoyote lakini awe tayari kubadili na kuwa muuslamu. (2). Awe hana uwezo wa kupata mtoto yaani tasa. (3). Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 40. (4). Awe na umbile kubwa zuri na la kupendeza rangi sichagui wala kabila. Aliye tayari tuwasiliane kwa barua pepe ifuatayo; [email]Ahmed_samwel@yahoo.com[/EMAIL] Asanteni
Naitwa Ahmed nina umri wa miaka 30, naishi Dar es salaam, natafuta mchumba ambaye baadaye Mungu akipenda awe mke mwenye sifa zifuatazo:- (1). Awe muislamu au dini yoyote lakini awe tayari kubadili na kuwa muuslamu. (2). Awe hana uwezo wa kupata mtoto yaani tasa. (3). Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 40. (4). Awe na umbile kubwa zuri na la kupendeza rangi sichagui wala kabila. Aliye tayari tuwasiliane kwa barua pepe ifuatayo; [email]Ahmed_samwel@yahoo.com[/EMAIL] Asanteni
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,769 May 24, 2015 #2 Meddy masumbuko Tasa?!!!...umetumwa na mganga wa kienyeji! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016