Mimi sikukatishi tamaa mkuu.Seriously hakuna mapenzi ya kwenye mtandao.Utapoteza muda tuu.Wengi walikutana barabarani,makanisani,misikitini, bar, kwenye vyombo vya usafiri,mtaani n.k.

Mkuu hata anaetafuta bidhaa kama shamba, kiwanja, gari hua ana specifications.. Hebu jieleze umri, physical appearance, uzoefu wako ktk mapenzi kidogo, location yako, mambo ya kipato unagusia kidogo etc, etc...
Trust me, atakae kutafuta bila kujua cv yako kwa sasa atakua ni mdada aliekata tamaa ya kuolewa baada ya kuhangaika sana.!
Mimi sikukatishi tamaa mkuu.Seriously hakuna mapenzi ya kwenye mtandao.Utapoteza muda tuu.Wengi walikutana barabarani,makanisani,misikitini, bar, kwenye vyombo vya usafiri,mtaani n.k.
Mimi sikukatishi tamaa mkuu.Seriously hakuna mapenzi ya kwenye mtandao.Utapoteza muda tuu.Wengi walikutana barabarani,makanisani,misikitini, bar, kwenye vyombo vya usafiri,mtaani n.k.
Usikatishwe tamaa watu tumeolewa na wa kwenye mtandao na ndoa zetu zimedumu hadi sasa ni mwaka wa nane na ni kama tumeonana jana tunapendana sana!!!! weka maelezo kamili tukague ntakupa mdogo wangu Bikra....haaa haaa!