muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,447
- 10,008
hahahahahaUlimchumbia vipi bila kuwajulisha wazazi wako?
🤣🤣🤣🙌🙌Wewe uliishi tumboni miezi 9 bila kuwaona wazazi wako, mwenzio miezi mitano tu ushaanza kulialia..!!
Hahaaa dahWewe uliishi tumboni miezi 9 bila kuwaona wazazi wako, mwenzio miezi mitano tu ushaanza kulialia..!!
Uku akisema "ona hii mbuzi "Kwanza anakuona wewe kiherehere na unajipendekeza na halafu kuna mtu anamuonyesha text zako.