Mchuano mkali kati ya Majinja na Saibaba Sumbawanga - Dar

Pole mkuu!
Enzi za kamanda Mpinga zimepitwa na wakati.
Sumatra wajitahidi kuwalazimisha madereva kuendesha kwa weledi.

Mungu awalinde mfike salama.
 
Jiongeze, kama ingelikuwa wewe Dereva, piga mahesabu kutoka sumbawanga to Dar kuna Km ngapi gawanya kwa mwendo wa km 40-6 kwa saa utatumia masaa mangapi? Na ukiwa kama Dereva utakuwa kwenye hali gani kiafya. Acha ushabiki wa ajabu namba za Sumatra kachukulie kituo cha polisi
 
Pia wee mrongo sana,sai baba zimechoka
 
Duh..umenikumbusha Marehemu Rushanga wa Geita mmilki wa mabasi .
Huyu mzee alikuwa anapenda mchuano si kawaida.
Bahati mbaya aliuwawa na basi lake.
 
Angalia hapo mbele kwa driver zitakuwa zimeanzia na 08..kama sijakosea
 
Dah! Ina maana Bujibuji Ndio tunkukosa. Inna lillahi Wa Inna illahi rajiuni. RIP
 
majinja wahun tuu.. tena hawajali mteja.. wanalazimisha safar ucku wa manane.. na wameweka mashart ya kihun kwenye ticket zao.. mabas yao hata sehem za kucharge cm hakuna..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…