Tuliaminishwa na wachambuzi kuwa Simba imelamba dume Kwa kusajili mchezaji wa timu ya taifa ya Ghana iliyokuwa inajiandaa na kombe la dunia na ikasemekana atajumuishwa kwenye kosi la Black Stars litakaloenda huko Qatar.
Sasa nawauliza wanathimba yupo wapi huyu mwamba atusaidie kuokoa jahazi linaloenda kuzama huko Casablanca?
Bila kumuondoa boko pale simba team itakuwa kila siku inasajili ila wachezaji hawafanyi vizuri
Banda injury prone
Okrah injury prone
Phiri injury prone
Sakho injury prone
Amebaki baleke asipojiwahi na yeye anapewa kitu akae.