Mcheza Kwao Hutunzwa.....

Na wewe heri ya mwaka mpya pia.
Smart lazima apalilie vizuri mwakani mwezi wa 9 mavuno yawe ya twins[emoji480] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mmmhhh wewe toziii. ...... hivi mtu akifika menopouzi uwezo wa kuzaa mapacha bado unakuwepo?
Kamnyangala kaneee
 
Mimi naujua ule the famous'sensema malunde'
Wana Tabora Jazz wanajua kuupiga huu. Unatukumbusha mbalu sana wengine

Mwanamke bobaa bobaa aaaeeeh bobaa mwanamke bobaa bobaa aaaeeeh bobaa

Kasinde kusensema....

Sensema malunde sensema sensema
Kasie na kusensema....

Sensema malunde sensema sensemaa.

Nashukuru kukumbumbusha wakati wa zamani, furahia wakati ngoma za kwetu.
 
Mmmhhh wewe toziii. ...... hivi mtu akifika menopouzi uwezo wa kuzaa mapacha bado unakuwepo?
Kamnyangala kaneee
Mkulima mzuri mazao yake lazima yawe mazuri na yalio nawiri. Akijua kupalilia hata ufike 60s utatoa mazao pacha tu.[emoji6] [emoji39]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 


πŸ™‚πŸ˜›πŸ™‚πŸ˜› Unacheza mpaka unasema huwezi kufanya nini? What a lovely day...
 
Acha nikautafute ule uzi, nauhakika smart911 kala mzigo kilaini. [emoji39] [emoji23] [emoji23]
Smart911 hana mapepe kama binamu alietaka kula nyama ya hamu.[emoji16] [emoji6] [emoji38] [emoji38]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Siyo issue ya kula mzigo kiulaini.. ila kuna wanawake wanajua kupenda... akikupenda una enjoy sana... ni kama Kasinde... Hivi unadhani kasinde unaweza kumla kiulani kweli...
 
Hahahahaaaaaa..................kamnyangala kaneeee ngoja nikushike kiuno ukatike vzr

Kamnyangalaaaaaa......
 
magri yakwenda kwenu ni mengi sio kama kule kas, raha jipatie mwenyew na wazee
 
Kamnyangale kaneeeee,kamnyangale kaneeee,bwana deleva kapiga mbolooooo kaa mnyangale kaaanee,naheneee mabholoo gawiza naguchima mwanawaneee,na linyoro lyagutepetaa kamnyangale kaaanee,naguchima linyorooo kamnyangalee kaneee,nyaanooko yaaa nzobeeeee kamnyangala kaane,nagamsino gako kamnyamgaleee kaaane,naguchimaaa nagutepeshaaa kamnyangalaa kanee,UPO HAPO KASINDE????????????.
 
Amen RA
 
Mkulima mzuri mazao yake lazima yawe mazuri na yalio nawiri. Akijua kupalilia hata ufike 60s utatoa mazao pacha tu.[emoji6] [emoji39]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hizo mbio zako mbona hufiki unakoenda kila saa unarudi? Hupokelewi au unafukuzwa?
 
πŸ™‚πŸ˜›πŸ™‚πŸ˜› Unacheza mpaka unasema huwezi kufanya nini? What a lovely day...

I love you darling, thanks for everything that you have done to me, it is a super suprise..... leaning on your shoulder while speaking sweet nothing words. ... muah
 
Hahahaha anataka ashuhudie mikao... ole wako utoe picha no honey for you na kesho njia nzima hakuna kuongea wala kukugusana...

Kile unachonikataza ndo sheria, kwako nazitii bila shuruti. ... nakupenda sana Smart......
 
Hahahahaaaaaa..................kamnyangala kaneeee ngoja nikushike kiuno ukatike vzr

Kamnyangalaaaaaa......

Weeh shika cha kwako au cha mkeo. ....
 

Hapo uko mwenyewe, mie niko mpenz wangu bin mahabuba Smart911
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…