Mnyamwezi hubebeshwa mizigo mizito, tokea lini na kuimba?[emoji15] au ndio nyimbo za shambani akilima hizo.[emoji12] [emoji1]
Na usingizi ukiwa hauji unaimbiwa pia[emoji42][emoji14]
Vipi kwanza mrejesho wa yule jamaa uliepanga mtoko nae?
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha nikautafute ule uzi, nauhakika smart911 kala mzigo kilaini. [emoji39] [emoji23] [emoji23]Mrejesho uko pale pale kwenye ile thread.... ifatilie na kesho ndo tunaenda kwenye kusheherekea sikukuu za Krismasi na mwaka mpya pamoja nae baby boo Smart.
Shamba la usiku unalijua, wanyamwezi wana ngoma na nyimbo nyingi za kuimba wakiwa wanalima. Ila si kila ukisikia kilimo basi ni shambani. ..... tunalima usiku kucha kwa raha zetu, mnyamwezi ndo mie na mzigo mzito nauhimili mwenyewe.
Kamnyangala kane mayuu. ....
Acha nikautafute ule uzi, nauhakika smart911 kala mzigo kilaini. [emoji39] [emoji23] [emoji23]
Smart911 hana mapepe kama binamu alietaka kula nyama ya hamu.[emoji16] [emoji6] [emoji38] [emoji38]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na wewe heri ya mwaka mpya pia.Mbona iko wazi wala sio siri. Tena sio mara moja na hivi ndo tunasafiri wote kesho na kumaliza mwaka pamoja, shughuli ni moja tuu.....
After all Smart sio binamu yangu wala hatuna undugu hivyo ni ruksa, ila binamu aliyenifata SA adabu yake ndogo sana, hadi leo hajanitafuta wala mie sijamtafuta, adabu ma heshima.
Kila la kheri na mwaka mpya mwema.
Mimi naujua ule the famous'sensema malunde'Tayari nshabandikwa licheo kichini chini yeye hupiga zile ngoma kwa ustadi wa hali ya juu wacha kabisa ni bonge ya burudani.
Pinda mgongo kidogo mamy!!!! Kamnyangala kane mayuuuuuuuuuu.....!!