Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Pamoja na umri na watoto wakubwa hajiheshimu kutafta kiki zisizo na kichwa wala miguu atajaza fuso sasa
Mi namkubali sana bosslady ila kwa haya maskendo espicially hilo la Diamond....mmmh hapana kwakweli.
Nasikia Toka mwaka uanze ametambulisha wanae Dogo dogo Kama 4 hivi. Haha huyu baba yenuMwenyewe kanichosha sio kwamba alimpenda domo basi kutafta kiki za ki Kim kardashian hajui kuwa huku ni Africa akiwa 20s ndo alitakiwa hafanye hivi vtu
Ninaripoti kutoka Uganda km ifuatavyo:
Baada ya diamond kujisevia zari kiulaini bila kutumia nguvu boyfriend wa zari aamua kujiweka kando kwa madai kwamba ni bora awe single kuliko kuwa na Mwanamke asiyejiheshimu. Ameorodhesha tuhuma 5 ikiwemo kupasha kiporo na baba watoto wake, kuwa na mitafaruku ya mara kwa mara kuhusu mali za exhusband ivan, kukutana na diamond kwenye Ndege kisha kumalizana kiutu uzima na nyingine 3 Kama alivyoziorodhesha. Hata hivyo mchepuko mwingine wa zari (basketballer LK4 BBA season 7 ambaye alikuwa anachepuka na zari wakati zari yuko ndoani) alimlaumu farouque kwa kumuuliza "are you mad"?
Pamoja na lawama za LK4 bado jamaa anaonekana kuchoshwa na uchepukaji wa bidada kwani genye zake ziko karibu. Victorie warumi , Matola geniveros, evemarie, Kim nana na wengineo
Siku hizi anachuna na yeye manake Mali ni za ivan hata ile lambogin (mtanisaidia spelling) aliazima kwa Ivan (mwanae aliposti akaweka caption kwamba mtalaka alimuazima mama yao). Na umalaya huo ndio Ivan amebana Mali zake.Mimi nilipoona tu style ya mkubwa na mwanae nikaona basi huyu mtoto Domo tutampoteza.
Katika hali ya kawaida kabisa huyu Malaya Zari kwa gape yao ya umri ana uwezo wa kumzaa kabisa, na wale mashabiki maandazi acheni kumpotosha huyu mtoto kwanza kama pesa Domo ana pesa zake anastahili kudate na msichana wa umri wake na siyo huyu kikongwe kinachoonekana bado wamo kwa msaada wa pesa na makeups.
Farouque mwenyewe mbona nasikiaga kicheche sana.
Ila mweeeh ni haki yake kama mwanaume anayejali....vinaumiza kwakweli!
Mi namkubali sana bosslady ila kwa haya maskendo espicially hilo la Diamond....mmmh hapana kwakweli.
Hhhhhhaaaaaaaaaaaa
Uzuri wa Daimond bahili hhhhhha
Atapewa rungu tu
Mimi mzazi yeyote asiyewaheshimu watoto namuona mavi tu.
Siku hizi anachuna na yeye manake Mali ni za ivan hata ile lambogin (mtanisaidia spelling) aliazima kwa Ivan (mwanae aliposti akaweka caption kwamba mtalaka alimuazima mama yao). Na umalaya huo ndio Ivan amebana Mali zake.
Kuna bwana mwingine mwaka huu huu alimuacha kisa no dolare
Wote players ila kwa hili farouk Hana kosa
Ila Farouk nae, kuja kututangazia mtandaoni ndo nini.....kutafuta sympath au?
mwacheni dai aendelee kufadi raha yetu wanaume ni kuwa na mademu wakali siyo sura kama sokweee piga huyo dai