E bhana nilipata pale mtaa wa Mosque, nikakuta ile kitu ya kuitwa sijui urojo na mimi nikaona nijaribu. Ile mix niliyofanyiwa pale, nilivyoondoka haikuchukua hata masaa mawili, ilibidi niwe karibuni na choo mpaka siku ya pili alfajiri. Nimeapa sirudii tena