REA ilikuwa Round One.. ndio ilikuwa na hela.. kidogo REA Two.. ila kuanzia REA 3 na moto kabisa REA 3 round 2.. ni π₯²π₯²π₯²π₯²
Usimamizi wa miradi Tanzania bado midogo sana, ukiangalia execution nje ya design na ununuzi wa mataerial.. hufanya sub.. ila ma sub wana njaa wakipewa hela yoyote wanachuku ila mwisho wa siku zina watesa.. Ingawa kumekuwa na mshauri wa mirdai ila bure, kabisa.. na hii inatoka na rushwa... lifanyike nini ?
Masub wawe na makitaba.. ambayo itasikamiwa vyema.. na pande zote na wapitishwe na REA ambayo imefanyika kwa sehemu .. ila hadae wakachia mambo yaense ovyo ovyoo..
Masub kupata miradi.. jiunge kampuni mbili JV.. fanyenyeni kuomba nendeni bank za kawaida wapeni mchongooo..