Mch. Venon Fernand wa Agape TV anataka asamehewe deni la 5bils kutoka TIB

Nasikia hata Mwenyekiti wa chama fulani cha siasa aliwahi kutumia mbinu za Fernandes, sijui na yeye kisha lipa?

Ngoja nikutajie Ni freeman Mbowe wa CHADEMA alikopa NSSF hela za mafao ya wafanyakazi sijui kesharejesha au naye bado ndio anavuta miguu.Wastaafu wakishindwa kulipwa kwa wakati utakuta CHADEMA wanajitia kuwakilisha hoja binafsi serikali ya CCM haitaki kulipa mafao haraka wakati hela zimeshikiliwa na akina MBOWE!! Hata CHADEMA mafisadi wapo.Wamejificha kwenye kofia ya mheshimiwa mwenyekiti.
 

Alikopa mbowe au chadema?
 

Sasa hapa ndo umejibu nini? Au ulitaka tujue unasali kwa Fernandes na unafanya kazi TIB? Kwanza nikuulize, kufanya miujiza ndo ishara ya mtu kuwa mtumishi wa kweli wa Mungu?
 


Deo why unakuwa mwongo hivi!?

Nipost ngapi Leo umezileta kuhusu huyo pastor?

Nikuumbue?
Eti unafanya TIB!!
Tyta
 
Last edited by a moderator:
mleta mada ni mjinga sana. hayo ni mambo ya kibank, kama alikopa lazima alikopa kwa rehani, bank huwa hawaongei, uwa wanaifuata collateral for foreclosure kama mortgagor aki default. na wala sio kuja kulialia hapa kutuletea story ambayo hatuna nafasi ya kusikia upande wa pili. next time ukiwaomba hela huko ofisini kwako wakakataa kutoa rushwa kwasababu wao huwa hawatoi rushwa, usije hapa kuwalipua kwavile hujapewa. manake nyie watu wa bank ndio zenu, hapo ulitegemea akupe ten percent ili msamaha wa interest ukubalike. sio wote wanatoa rushwa.
 
ni kweli flora anaonekana amejichubua, unajua kila mtu alikuwa duniani zamani, kama mtu ukijichubua utaishi maisha yako yote ya kujichubua manake ile ngozi ya awali ndio imepotea na kama hauta tumia vipodozi basi utaonekana mdudu kabisa.

kwa hiyo tuseme labda nabii flora kabla ya kuwa mtumishi alikua mtaani huko kama wanadamu wengine tu akajichubua, baada ye akaja kuitwa na Mungu akawa mtumishi namna hiyo, lakini ngozi yake ni ileile ya kujichubua hivyo itabidi aihudumie hivyohivyo na kujichubua huko ilianza kabla ya utumishi. akiacha ujue hao waliojichubua hata juani anaweza asitembee, hivyo usimhukumu kwa uharibifu wa mwili alioufanya zamani kabla ya kumjua Mungu. ninachomaanisha hapa ni kwamba, kama kabla ya kuitwa na Mungu alianya ya dunia akakatwa mguuu, akiwa nabii ungemwona leo ana mguu mmoja. vivyohivyo alipoteza ngozi ya uso duniani, alipoingia huku itabidi aishi kwenye kilema ichoicho cha kukosa ngozi ya asili manake bila hivyo hawezi ishi.
 
wewe ndio mjinga wa mwisho, kwa hiyo unaamini kwa akili yako utaleta mistari ya kuconvince watu hapa toka kwenye kuran na watu wakaamini? si kuran hiyohiyo inatumiwa na ISIS, BOKO HARAM NA AL SHABAB ambao wanampigania allah, na mpaka leo waislam wote tz hawajatoa kanusho la kulaani that means wanawaunga mkono? ukitaja mstari wa kwenye kuran hapa akilini mwa watu wanawaza al shababu na boko haram tu manake hao ndio waislam swafi, na ndio wanaoufanya uislam wenu uendelee kuwepo duniani.
 
Mtumishi wa Mungu Pst Fernande's kama amependelewa na bank akapewa loan sio dhambi, Mungu anazo njia nyingi za kufanya kazi zake mladi tuu awe mwaminifu. Soma Mwz 12: 35-36.
halafu akapendelewa kushindwa kulipa deni?
 



Walio wapa Silaha ni hao hapo juu, na wameelekezwa kwenda kuvuruga kila mahali palipo na mafuta. Na hawajawahi kuishiwa na risasi wala mabomu. Ndio maana hujawahi kusikia Boko Haram au ISIS wameingiza watu kadhha katika Uislaam.


Ubungoubungo ujinga ni kuamini kuwa huyu jamaa ni mungu, ukanunua picha yake dukani kisha ukaitundika sebuleni ! :noidea:
 
jamani tujitokeze kwa wingi kununua ving'amuzi tumwokoe mwenzetu na deni la Bank.
.

Teh teh teh..... Mchuma janga hula na wa kwao. Hata hivyo ving'amuzi sustainability yake ni ndogo sana. Itakuwa kama GTV kwa wale mnaokumbuka. Hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…