El Nino, ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Mwanzoni pale umesema safari yako ni kutoka Dom kwenda Dar. Nukta chache zilizofuata unatwambia ulitarajia mkija kufika Dom sound zako zitakuwa zimemnasa mdada. Huoni hiyo ni contradiction mbaya kabisa?
Hizi story za kutunga zisizo na vichwa wala miguu zinatujazia server bure tu.
Tiba
kwa mama yako