Kwa wale mnaotazama mechi hivi sasa Kati ya TP mazembe na setif mmejione watoto wakibongo wanavyofanya yao huko Congo,
Krosi imepigwa na samatta goli kafunga Thomas ulimwengu ni bao la 3 hilo
Mpaka sasa mazembe 3 setif 1 mashindano ya CAF
Hawa mazembe sidhani kama wana utamaduni wa kuuza wachezaji ulaya,
Nimekuwa nasikia mara nyingi mchezaji akitakiwa ulaya mazembe wanapandisha bei sana mpaka club zinashindwa kumnunua,