Mbwa wazee hawa niwafanyeje?

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,765
Reaction score
1,714
Nimekuwa nao karibu miaka 10 sasa,hawawezi tena kulinda na hata kubweka ikiwa kuna hatari.
 
Mtunze tuu atakufa mwenyewe...! Mbwa anaishi miaka 14 tu.
 
Wapeleke IRINGA nasikia wana soko huko
 
sisi nyumba ya jirani walihamia wachina, mbwa wetu walianza kupotea poole pole

umeniwahi mkuu..aongee na hawa wawekezaji wa kichina waje kuwekeza hapo kwake
 
Nimekuwa nao karibu miaka 10 sasa,hawawezi tena kulinda na hata kubweka ikiwa kuna hatari.

Kama walikulinda sasa wamekuwa kero? Watunze hadi Mungu awaite bhana. KKS huwa wana tabia ya kuwatunza hadi kufa, by the way
mimi ninao 2 wana kama 12 years, bado nawatunza kama mbwa wa maana, enzi wakiwa fiti nilikuwa naweza kuacha hata milango wazi, vibaka nilikuwa naskia kwa jirani.
 
Endelea kuwatunza mpaka wafe, au waone Wataalamu wa wanyama watakushauri ni kitu gani ufanye.
 
Mkuu usijali ngoja nikutafutie namba ya simu ya wakorea fulani, utapata suluhisho la tatizo lako mara moja
 
Muone vet doctor anaweza kukusaidia kuwalestisha in piece kuliko kuwaacha watange tange mtaani
 
Usiwadhuru Bro Endelea Kuwatunza Hadi Watakapo Sign Wenyewe!
 
watunze mkuu , mtu wana jiaattach sana kwa wana familia, kuwaua au kuwatupa sio utu , tafuta puppy ila hao watunze tu, watakufufa natural death
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…