Mbwa wanauzwa

Mbwa wanauzwa

SaraJr088

Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
37
Reaction score
39
Mbwa Wanauzwa Wadogo Bei sawa na Bure... Tsh 350000/= Mawasiliano 0652952018
 
Attachments

  • IMG-20170924-WA0012.jpg
    IMG-20170924-WA0012.jpg
    72.6 KB · Views: 85
  • IMG-20170924-WA0011.jpg
    IMG-20170924-WA0011.jpg
    53.8 KB · Views: 76
  • IMG-20170924-WA0010.jpg
    IMG-20170924-WA0010.jpg
    48.1 KB · Views: 68
  • IMG-20170924-WA0009.jpg
    IMG-20170924-WA0009.jpg
    56 KB · Views: 71
Mbwa Wanauzwa Wadogo Bei sawa na Bure... Tsh 350000/= Mawasiliano 0652952018
Aksante. Mimi nataka mbwa seriously! Ila nipe majibu haya;-1. Umri wa mbwa, Jinsia yake, Kabila je ni German F asili au cross bread? Umewachoma chanjo na je una kadi ya chanjo? Mwisho uko mkoa gani? Mimi niko Mza. Aksante
 
Vipi wamelipiwa ushuru TRA hao, bima vipi wanayo na mazaga zaga mengine. Afu mbona wanaonekana wana njaa kali sana!
 
Aksante. Mimi nataka mbwa seriously! Ila nipe majibu haya;-1. Umri wa mbwa, Jinsia yake, Kabila je ni German F asili au cross bread? Umewachoma chanjo na je una kadi ya chanjo? Mwisho uko mkoa gani? Mimi niko Mza. Aksante
Mbwa ni Germany, Mpaka kufikia Ijumaa wanafikisha Wiki ya saba... Kuhusu chanjo wameshachoma moja details zipo Tarehe saba Ya next month wanachoma chanjo nyingine.. Mbwa wanapatikana dar Es salaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom