Mbwa wa kufuga anahitajika

bintij

New Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Nahitaji M'MBWA mdogo , umri Kati ya wiki 4 hadi 6, Mbegu kubwa inayofaa kwa ulinzi. Tafadhali mwenye nao awasiliane kupitia no 0714 920195/ 0784386474.
 
Nahitaji M'MBWA mdogo , umri Kati ya wiki 4 hadi 6, Mbegu kubwa inayofaa kwa ulinzi. Tafadhali mwenye nao awasiliane kupitia no 0714 920195/ 0784386474.

Mkuu umempata? kama umempata nishtue nami kwani nahitaji mbwa wa kufuga.
 
0788206047 jaribuni kumcheki huyu mtu ana mbegu nzuri sana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…