makongora makongors
Member
- Jan 2, 2014
- 94
- 18
balaza la madiwani la wilaya muleba walipindisha maamuzi ya wilaya mpya ya kamachumu na kuuiweka hizigo mpaka sasa wananchi wa muleba k.zini hawajaona mbunge akihoji juu ya ukihukwaji huu wa madiwani wa ccm wa kuiweka wilaya maeneo ya izigo...
Mwijage aleze nae kama kabariki mahazi hayo
Mwijage yule ni mzigo,kwani hâta bungeni hakuna lolote la maana analo changia zaidi ya kuunga mkono 100%,kila hoja ya serikali.
Kamachumu ni wilaya au jimbo katoriki?
Alafu nakuwa kama siawelewi elewi vile,Izigo ni kama Km 10 or less kutoka makao makuu ya wilaya ya Muleba[Muleba mjini] hata kwa miguu unafika,sasa kama mtu unaweka wilaya katika distance ya less than 10 Kms kutoka wilaya nyingine kuna justification gani,haya mambo mengine hayahitaji uwe na akili sana kuyapambanua.Kama una uwezo wa kuandika hapa JF unashindwaje kujiorganize ukuwapata watu wa kutosha mkapeleka malalamiko yenu panapo husika. Fanya maamuzi ya kweli siyo kuandika hapa JF haitasaidia kupata suluhu ya issue yako.
Sio Muleba Kaskazini tu,ni mkoa mzima wa Kagera hakuna Mbunge,mimi kuna wakati nina wa envy wana Kigoma na Kizazi chao,wanatoa vijana majasiri sana tofauti na mikoa mingine mingi tu.Hivi huyu Charles Mwijage anajitambua kweli? Hivi Rugemalira amemlipa kiasi gani ambacho anajisifia ujinga kuwa amesoma na anaijua IPTL? Nimeamini watu wa Muleba Kaskazini hawana mbunge