Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya aionya Serikali dhidi ya ujangili katika muendelezo wa Corona

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234


Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya ameitaka Serikali kuchukua hatua madhubutu katika kipindi hiki cha janga la Corona ili kudhibiti ujangili unaotishia kurudi kutokana na hali ngumu ya uchumi.

#KutokaBungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…