CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya ameitaka Serikali kuchukua hatua madhubutu katika kipindi hiki cha janga la Corona ili kudhibiti ujangili unaotishia kurudi kutokana na hali ngumu ya uchumi.
#KutokaBungeni