D dj-sulleh Member Joined Jul 17, 2015 Posts 75 Reaction score 22 Aug 6, 2017 #1 Wakuu naomba kuuliza hvi mbunge anapozuiliwa kuingia bungeni kwa muda Jimbolake haliwezi kutetewa tena bungeni kwa huo mudaa *hawezi kuomba mwenzie kusemea matatizo yake? Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba kuuliza hvi mbunge anapozuiliwa kuingia bungeni kwa muda Jimbolake haliwezi kutetewa tena bungeni kwa huo mudaa *hawezi kuomba mwenzie kusemea matatizo yake? Sent using Jamii Forums mobile app
PrincessAnne JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 1,875 Reaction score 2,229 Aug 6, 2017 #2 Wengi wao hata wakiwepo huwa hawasimami kutetea majimbo yao wao ni fujo tuuuuu fujo na wao Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao hata wakiwepo huwa hawasimami kutetea majimbo yao wao ni fujo tuuuuu fujo na wao Sent using Jamii Forums mobile app
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Aug 6, 2017 #3 Anaweza kutumia mandishi