Kwanini Hassan Ngwilizi asishitakiwa MAHAKAMANI kwa kulidanganya UMMA wa WATANZANIA?
Yaani pamoja na kula pesa za TUME BURE hakuona WIZI?
CCM ikianguka hawa WOOTE wa CCM Waende JELA; Waanzishe RECONCILLIATION COURT
Umeona jinsi Balusconi alivyonyolewa bila maji? Ni kweli ipo siku iso na jina mambo yao yatajulikana na haki itatendeka.
Hii itakuwa ni Zamu ya Prof. Muhongo kukaangwa bungeni. Kama ni mjuzi wa mambo ya kisiasa namshauri aanze kulichimbisha hili sakata sasa tena huku kwa raia walala hoi na sio bungeni.
Nambari waniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeeehhhh, nambari wani ni CCM
tujeni na majawabu jamani JF Tumezidi kulalama tuu!
kuwa na akili wewe,una dola?una mahakama?una takukuru?au tuandamane kama uamsho?
Nani aanzishe Reconciliation court kwa ajili ya wezi? dawa yao ni kuanzisha mahakama mfano wa ile ya kijeshi, court Marshall -baada ya hukumu tu, mtu anakula shaba.
Kwanini Hassan Ngwilizi asishitakiwa MAHAKAMANI kwa kulidanganya UMMA wa WATANZANIA?
Yaani pamoja na kula pesa za TUME BURE hakuona WIZI?
CCM ikianguka hawa WOOTE wa CCM Waende JELA; Waanzishe RECONCILLIATION COURT
Hayo mambo yanakuja pole pole ndugu yangu,Hawa watu watakuja kusimama Mahakamani kwa huu udhalimu wanaofanya wakiwa madarakani.Si umesikia huko Italia leo Waziri Mkuu wa zamani Silvio Belascuoni (76),amehukumiwa kifungo cha miaka 4 jela kwa kudanganya/kukwepa taxes kwenye Biashara zake za Media,kwenye kipindi alichokuwa Waziri Mkuu.Pia bado kuna kesi nyingine ipo pending nayo pia itatajwa tena ya kufanya ufuska na mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 17 (wakati huo)
Umeona jinsi Balusconi alivyonyolewa bila maji? Ni kweli ipo siku iso na jina mambo yao yatajulikana na haki itatendeka.
Taarifa za karibuni zaidi zinaonyesha kwamba mmoja wa wajumbe wa Kamati hiyo, Sarah Msafiri, alikuwa na uhusiano na Kampuni ya M/S Sharrifs Services & General Supply iliyokuwa ikifanya biashara na TANESCO na yeye kusimamia malipo yenye utata kutoka shirika hilo ambalo mbunge huyo analisimamia.
Tayari katika uchunguzi wa Mhando na wenzake zimebainika kasoro lukuki kuhusu mwenendo wao kama viongozi wa TANESCO. Hali pia si swari kwa upande wa Bodi ya TANESCO inayoongozwa na Jenerali (mstaafu) Robert Mboma, ikielezwa kuwa bodi hiyo kwa namna fulani ni sehemu ya uozo uliokuwa ukiendelea TANESCO ikiwa ni pamoja na kulea kile kinachoelezwa kuwa mgawo wa umeme wa kutengeneza mezani.