Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
ulituambia kipindi kile ilibidi kubadilishia gia hewani. Nimeelewa sasa kwa nini mlifanya hivyo. Ni kwa kuwa dk slaa alikuwa kikwazo ikabidi mtumie gia ya rivas angani ili kumpoteza mtu kwanza. Mlifanikiwa ila na yeye keshawaona na anawalaani sasa na mwangwi umepaa sana. Sasa mpango wa pili ni upi kiongozi? Maana zile jeb zilituingia kiasi kwenye chembe. Sasa wametugeuzia kibao eti sie ndio mafisadi. Kweli? We ni kamanda. Kwa ule mchezo wa mwanzo tulikuaminia. Sasa uje na mkakati mwingine kamanda. Pamoja na ukweli kuwa kura zetu hazijatetereka sana tunataka tena kukusikia maana upande wa pili ni kama wamepata nguvu ghafla. Unatuachaje?
kada wa ccm hujambo wapi magufuliiiiiiiiii, kwisha habari yake.
1. Mbowe alisema kuwa Dr Slaa yupo Likizo
2. Dr. Slaa amekana kuwa hakuwa Likizo
Credibility ya Mbowe imekwisha kwa kudanganya watu.
Siku moja baada ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dkt.Wilbroad Slaa kutangaza kuachana na Siasa, hii leo Vijana kutoka Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Jijini Mwanza wameandamana na kutangaza kuachana na Vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
HII IMEKAAJE?
Dr.Slaa kamvua nguo mhuni mbowe na kujifanya kwake mjanja wa mjini
Siku moja baada ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dkt.Wilbroad Slaa kutangaza kuachana na Siasa, hii leo Vijana kutoka Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Jijini Mwanza wameandamana na kutangaza kuachana na Vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
HII IMEKAAJE?
October ifike tuu maana naona tunazoeana.
Ifike 25/10/2015 ccm wachukue nchi kelele zipungue