Yes indeed...! Sijui upande wako.Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
Kwa haya anayofanya, naona wamemstahi kama wamemwita irrelevant. Alistahili sifa nzito kuliko hiyo.Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
NdioKwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
Sio tu irrelevant he is also impotentKwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
Kumbe neno "irrelevant" ni tusi?!Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Nafikiri ulimaanisha "relevant"Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?